Kwa nini mafisadi hawawekezi mapesa yao ya kifisadi katika viwanda vya kuzalisha hapa nchini.
Mafisadi wanaweka mapesa yao wapi? Hatuna viwanda vya kutengeneza sindano, hatuna viwanda vya kuzalisha ili tuuze na sisi bidhaa nje ya nchi yetu.
Tuache kukuza uchumi wa nchi yetu kwa kupiga simu. Pato la taifa likuzwe kwa kilimo bora, ekari zetu millioni 44 zitatosha kututoa hapa tulipo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment